
Shake It To The Max Freestyle
Maandy

Kabaya
Eyo Metro Suka Doba
Naskia kuseti, naskia kubleki
Naskia kuzitoka dogo siketi
Naskia kumedi, naskia amazing
Naskia tu fiti, naskia tu eazy
Naskia kuseti, naskia kubleki
Naskia kuzitoka dogo siketi
Naskia kumedi, naskia amazing
Naskia tu fiti, naskia tu eazy
Uh-uh, naskia tu fiti
Uh-uh, naskia tu fiti
Uh-uh, naskia tu fiti
Uh-uh, naskia tu fiti
Oya chargie, songa na mimi
Zero shapre manze jasho ni ya nini?
Uh-huh, uh-huh, moshi ni ya nini?
Maforeign organic, ma various na kidri
Niko na pake, mashillings
Na zikishika usiadisie na mafeelings
Unaletanga ngori na vibration ni ya healing
Rusha mabega ntakufunza hadi lini?
Kama zimeshika mi nakam (mi nakam)
Nalenga huyu chali akajam (amejam)
Mi nakunywa Gin staki Rum (staki rum)
Ntagawa juu ni yangu unang’am? (unang’am)
Naskia kuseti, naskia kubleki
Naskia kuzitoka dogo siketi
Naskia kumedi, naskia amazing
Naskia tu fiti, naskia tu eazy
Naskia kuseti, naskia kubleki
Naskia kuzitoka dogo siketi
Naskia kumedi, naskia amazing
Naskia tu fiti, naskia tu eazy
Uh-uh, naskia tu fiti
Uh-uh, naskia tu fiti
Uh-uh, naskia tu fiti
Uh-uh, naskia tu fiti
Ushai amka na hutaki mambo mingi
Ushai amka ukapiga shots mbili
Puff puff, alafu munchies hivi
Tafuta mbogi manze leo ni maraundi
Staki stress ah ah, staki mapressure
Wapi Mary, Njeri leo mi natoka nje kutesa
Mbuda flani Thika road, manze pesa inamuwasha
Dom Pérignon anasema hatabuy ma Vodka
Kama zimeshika mi nakam (mi nakam)
Nalenga huyu chali akajam (amejam)
Mi nakunywa Gin staki Rum (staki rum)
Ntagawa juu ni yangu unang’am? (unang’am)
Naskia kuseti, naskia kubleki
Naskia kuzitoka dogo siketi
Naskia kumedi, naskia amazing
Naskia tu fiti, naskia tu eazy
Naskia kuseti, naskia kubleki
Naskia kuzitoka dogo siketi
Naskia kumedi, naskia amazing
Naskia tu fiti, naskia tu eazy
Uh-uh, naskia tu fiti
Uh-uh, naskia tu fiti
Uh-uh, naskia tu fiti
Uh-uh, naskia tu fiti